Ghetto Radio

Mdihe wa rima Mwingi central amejimanyuriaGet real time updates directly on you device, subscribe now.

By Nicanory Muhando

Mastude na mamode wa raima iko Mwingi Central, Kitui County walishangaa after kupata mdihe wao amejimanyuria kwa kujihang ndani ya offe.

Mr. Kioko Mutie alikua headteacher wa Yanyonge Primary School na ali commit suicide Monday evening.

Hakuwacha manyu suicide note kusho reason ya kujituma kwa Sir Jah.

Wanjivo wa mtaa, Mulinge Wambua ame confirm hio riba, akidai huyo mode alikua 46 years anatoka Makueni County, alikua msee amechangamka, hungejua ana stress.

Bado haijajulikana mbona alijimanyuria.

Body yake iko mocha Mwingi hospital.


Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Source link

Related posts

UoN Lecturers Issue A New Strike Notice

Kenyan Review

Babu Owino Tells Mariga To Choose Between Anne Thumbi Or Kibra Seat

Kenyan Review

Akothee breaks the internet with sweet post dedicated to ex-hubby

Kenyan Review
%d bloggers like this: